Manchester city imekamilisha usajili wa pili baada ya kumnasa golikipa wa Benifica Ederson Moraes kwa dau la uhamisho wa £34.5 milioni.
City imeamua kuondokana rasmi na tatizo la golikipa katika kikosi hicho kwa kuinasa saini ya Mbrazili huyo ambaye amesaini miaka 6.
Comments
Post a Comment