Kiungo wa Chelsea Nemanja Matic anavutiwa na mpango wa kujiunga na Manchester United ili kufanya kazi na kocha Jose Mourinho.
Jose Mourinho ndiye aliyemrejesha mchezaji huyo kwa mara ya pili katika timu ya Chelsea baada ya kumtoa Benifica kwa dau la £24.6 milioni.
Comments
Post a Comment