Klabu ya Simba SC imerejesha beki wake wa zamani Shomari kapombe ambaye amesaini mkataba wa miaka 2 kwa dau la milioni 35 za kitanzania.
Kapombe anaungana na golikipa Aishi Manula pamoja John Bocco ambao wote kwa pamoja wamejiunga na Simba SC wakitokea Azam FC.
Azam imeachana na Manula baada ya kumsajili golikipa wa Mbao FC Benedict Haule ambaye awali alikulia katika Academy ya timu hiyo.

Comments
Post a Comment