Mkude aongeza miaka 2 Simba. Posted by eskaone blog on June 18, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Nahodha wa Simba Jonas Mkude ameongeza miaka miwili ndani ya timu hiyo baada ya kusaini mkataba mpya. Mkude alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Yanga kama ilivyokuwa Ibrahim Ajib ambaye tayari amefanya hivyo baada ya kusaini miaka 2 Jangwani. Comments
Comments
Post a Comment