Mourinho awasili Ureno kumzika baba yake.


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amewasili nchini Ureno kwenye mazishi ya baba yake mzazi.

Mzee Felix Mourinho alifariki dunia siku ya jumamosi akiwa na umri wa miaka 79.

Mourinho alionekana nchini humo akielekea kwenye kanisa litaadhimisha ibada ya maziko.

Comments