Nahodha wa zamani wa klabu ya Simba Hassan Isahaka ametua Kagera Sugar.
Isahaka ameungana na Peter Mwalyanzi ambaye kwa pamoja walikuwa katika timu ya African Lyon ambayo imeshuka daraja.
Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime amesajili jumla ya wachezaji watatu ambao walipita Simba akiwemo Juma Nyoso.
Comments
Post a Comment