Ngoma aipotezea Simba, asini Yanga miaka 2.


Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe amevunja rasmi ndoto za Simba SC ya kusaini Yanga miaka 2.

Ngoma amefanya hivyo mapema leo ikiwa imepita siku moja tangu alipotua Tanzania akitokea nchini Zimbabwe alipokuwa kwenye mapumziko mafupi.

Comments