RASMI: Griezmann ajifunga Atletico hadi 2022.


Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Antonio Griezmann ameikata maini klabu ya Manchester United baada ya kusaini mkataba mpya Atletico Madrid.

Griezmann aliondoa matumaini kwa Manchester United kutokana na Atletico kukutana na kizuizi cha usajili kwa kpnd cha mwaka mmoja.

Mkataba huo utamuweka Griezmann ndani ya Atletico Madrid hadi 2022.

Comments