Kocha wa Yanga George Lwandamina amemuhusisha Mshambuliaji Donald Ngoma katika kikosi chake msimu ujao.
Licha ya majeraha yanayo muandama mshambuliaji huyo lakini kocha wa Yanga amesema kuwa bado mchezaji huyo yupo kwenye mipango yake.
Lwandamina alikabidhi ripoti kwa viongoz wa Yanga ambao watakuwa na kibarua cha kufanya mpango wa kumbakiza mshambuliaji huyo kikosini.

Comments
Post a Comment