Simba yazidi kufanya balaa kwenye usajili.


Klabu ya Simba leo imekamilisha usajili wa mchezaji kiraka kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro Ally Shomari ambaye amesaini miaka miwili.


Simba imemtambulisha Rasmi mchezaji mchana wa leo baada ya kusaini mkataba huo mbele ya makamu wa raisi wa Simba Geoffrey Nyange Kaburu.

Ally Shomari anakuwa mchezaji wa Saba kusajiliwa na Simba msimu huu baada ya kufanya usajili wa wachezaji kadhaa akiwemo John Bocco, Aishi Manula na Shomari Kapombe.

Comments