Stars yaambulia sare kwa Angola, COSAFA.


Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jana imeshindwa kutamba mbele ya Angola katika michuano COSAFA inayoendelea nchini Afrika Kusini baada ya kulazimishwa sare isiyokuwa magoli.

Stars ilishinda mechi ya kwanza ya kundi A baada ya kuifunga Malawi mabao 2-0 ambapo hadi sasa imefanikiwa kupata jumla ya pointi 4.

Bado Stars ina nafasi kubwa ya kusonga mbele endapo itashinda katika mechi ya mwisho.

Comments