Tambwe ajifunga tena Yanga.


Mshambuliaji wa Yanga SC Amis Tambwe ataendelea kuitumikia klabu hiyo baada ya kusaini mkataba mpya utakaomuweka Jangwani kwa miaka 2.

Tambwe ameungana na Donald Ngoma ambaye alisaini mkataba mpya wa kuitumikia Yanga siku mbili zilizopita.

Comments