Orodha ya wachezaji waliosajiliwa VPL kwenye Vilabu mbali mbali.


Tangu kufunguliwa kwa dirisha la usajili la ligi kuu vodacom wapo wachezaji mbali mbali ambao wamekisha sajiliwa hadi. Eskaone blog imekuwekea orodha ya wachezaji ambao wameshasajiliwa katika klabu za ligi kuu.

1. Mbaraka Yusuph (mshambuliaji), alipotoka Kagera Sugar ametua Azam FC

2. Waziri Junior (mshambuliaji), alipotoka Toto Africans ametua Azam FC

3. Salmini Hoza (kiungo), alipotoka Mbao FC ametua Azam

4. Benedict Haule (golikipa), alipotoka Mbao FC ametua Azam FC.

5. Jamal Mwambeleko (beki), alipotoka Mbao FC ametua Simba .

6. Shomari Kapombe ( beki), alipotoka Azam ametua Simba.

7. John Bocco ( mshambuliaji), alipotoka Azam ametua Simba.

8. Aishi Manula (golikipa), alipotoka Azam ametua Simba.

9. Emanuel Elias Mseja (golikipa), alipotoka Mbao ametua Simba.

10. Abdallah Haji Shaibu (beki) alipotoka Jang'ombe ametua Yanga.

11. Juma Nyoso (beki) ametua Kagera Sugar

12. Venace Ludovic (mshambuliaji), alipotoka African Lyon ametua Kagera Sugar.

13. Peter Mwalyanzi (kiungo), alipotoka African Lyon ametua Kagera Sugar.

14. Kane Ally (Kiungo), alipotoka Mbeya City ametua Singida United.

Comments