Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anajindaa kumwaga mabilioni ya pesa ili kuwanasa nyota watatu kutoka Ufaransa.
Wenger anavutiwa na usajili wa wachezaji wawili kutoka Monaco Kylan Mbappe na Thomas Lemar pia anavutiwa na usajili wa mshambuliaji Alexander Lacazatte wa Olympic Lyon.
Wenger amepanga kufanya usajili mkubwa kwa ajili ya kuimarisha kikosi cha Arsenal kukabiriana na ushindani mkubwa uliopo katika ligi ya England.
Wenger amepanga kufanya usajili mkubwa kwa ajili ya kuimarisha kikosi cha Arsenal kukabiriana na ushindani mkubwa uliopo katika ligi ya England.

Comments
Post a Comment