Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC wameaga rasmi michuano ya Sportpesa Cup baada ya kuchomolewa na FC Leopards ya Kenya.
Hadi dakika 90 zinamalizika si Yanga wala Leopards iliyokuwa imeona lango la mwenzake na kutinga kwenye hatua ya matuta ambapo Leopards ilipata penati 4-3 dhia ya Yanga.
Yanga imeungana na Simba ambayo iliaga mashindano hayo baada ya kuchomewa na timu ya Nakuru All Stars inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Kenya.

Comments
Post a Comment