Barca yaikalisha Real Madrid US Tour.


Timu ya Barcelona mapema leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya mahasimu wao Real Madrid nchini Marekani.

Mabao ya Barcelona yaliwekwa nyavuni na Lionel Messi, Ivan Rakitic na Gerald Pique kwa Upande wa Real Madrid Kiungo Mateo Kovacic na Marco Asensia waliifungia timu yao.

US Tour imezikutanisha timu mbali mbali nchini ikiwemo pia katika Manchester United na Manchester.

Comments