Coutinho: hachomoi Camp Nou.


Timu ya Barcelona imeanza kujiwekea asilimia zote kuwa itamnasa kiungo fundi wa Liverpool Phelipe Coutinho.

Barcelona ina imani kuwa Liverpool haitaweza kuchomoa ofa ya pauni 89 milioni ambayo imewekewa na timu hiyo.

Pia wababe hao wa Catalunya wamesema kuwa ingawa Coutinho anaipenda Liverpool lakini hawezi kuchomoa kuitumikia timu bora kama Barcelona.

Comments