Barthez wa Yanga ametua Singida Utd


Aliyekuwa golikipa wa Yanga Ally Mustaafa maarufu kama Barthez ameachana na Yanga na kujiunga na Singida United.

Golikipa huyo amesaini miaka miwili ya kuitumikia klabu hiyo ambayo itashiriki ligi kuu ya VPL katika ligi itakayoanza.

Comments