Beki wa Mtibwa atua Msimbazi.


Beki wa kati kutoka timu ya Mtibwa Salimu Mbonde ametua kwenye klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili.

Mbonde alikuwa na kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ambayo ilishiriki michuano ya COSAFA nchini South Africa.

Afisa habari wa klabu ya Simba aliyefungiwa na TFF Haji Manara aliposti picha iliyomuonesha kitasa huyo akimwaga wino Msimbazi kupitia akiwa amevalia jezi ya Simba kupitia akaunti yake ya Instagram.

Comments