Timu ya AC Milan imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Juventus Leonardo Bonucci ambaye amesaini miaka 5.
Bonucci mwenye miaka 30 amejiunga na timu kwa ada ya usajili wa pauni 37.45 milioni baada ya kukamilika kwa zoezi la Vipimo.
Raia huyo wa Italy amecheza jumla ya 319 tangu alipojiunga na Juventus na kutwaa taji la Sirie A kwa miaka 6 mfululizo.

Comments
Post a Comment