Manchester city imeendelea na matumuzi makubwa ya pesa kwenye dirisha la usajili. Mpaka sasa city imesajili wachezaji wasiopungua watano.
Ifutatayo ni orodha ya wachezaji wa ambao wamesajiliwa na Manchester city mpaka sasa na gharama zao.
Hadi kufikia jana tayari city ipo mbioni kukamilisha usajili wa Beki Danilo (Real Madrid) na Mendy (Monaco) wote kwa pamoja wataigharimu timu hiyo kiasi cha pauni 78 milioni.

Comments
Post a Comment