Dele Alli kumrithi Neymar Barcelona?


Barcelona imetoa orodha ya wachezaji watatu ambao huenda watamrithi Neymar ambaye anawindwa na PSG kwa sasa.

Paris Saint Germain inajiandaa kuweka mzigo utakoavunja rekodi ya usajili duniani ili kumnasa Neymar ambaye ni nyota wa Brazil kwa sasa.

Wababe hao wa Catalunya wanajiandaa kupeleka ofa katika timu ya Tottenham ili kumajili Dele Alli ambaye anafanya amekuwa na kiwango kizuri kwenye soka.

Mbali na Delle pia kwenye orodha hiyo yumo kiungo wa Liverpool Phelipe Coutinho na mshambualiaji wa Chelsea Heden Hazard.

Comments