Dilunga sasa ni mali ya Mtibwa Sugar.


Aliyewahi kuwa kiungo wa Yanga Hassan Dilunga amejiunga na Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka 2.

Dillunga ameachana na JKT Ruvu ambayo ilishuka daraja na ataonekana katika uzi wa Mtibwa Sugar katika msimu mpya wa ligi ya Vodacom.

Comments