Habari ya kusikitisha nchini England ni msiba wa mtoto aliyekuwa shabiki wa damu wa timu ya Sunderland Bradley Lowery.
Bradley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 6 na amekuwa akiungua ugonjwa wa Kansas tangu mwaka 2013.
Kwa niaba ya blog hii na waombelezaji wote duniani tunathubutu kusema tutukukumbuka Bradley, pumzika kwa amani.



Comments
Post a Comment