DONE DEALS: Danilo amesaini City.


Beki wa kimataifa wa Brazil Danilo amejiunga na Manchester city kwa mkataba wa miaka 5.

Danilo 26, aliwahi kuzichezea timu za Atletico Mineiro na Santos akiwa nchini Brazil, baadae alijunga na Porto kabla ya kusajiliwa na Real Madrid mwaka 2015.

Comments