Kiungo wa Liverpool Lucas Leiva amajiunga na Lazio ya kwa dau la pauni 5 milioni. Lucasa amedumu Liverpool kwa zaidi ya miaka 10 baada ya kusajiliwa na aliyekuwa kocha wa Liverpool wakati huo Rafael Benitez.
Kwa upande mwingine leo timu ya Liverpool itakamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Andy Robertson kutoka Hull City kwa dau la uhamisho wa pauni 8 milioni.
Andy Robertson


Comments
Post a Comment