DONE DEALS: leo kwenye usajili.


West Ham United imekamilisha usajili wa wa aliyekuwa mshambuliaji wa Stoke City Marko Arnautonovic kwa uhamisho uliovunja rekodi kwenye historia ya klabu hiyo.

Raia huyo wa Austria amesaini miaka 5 leo baada ya hapo jana kufuzu zoezi la vipimo.

Comments