Manchester United imetangaza rasmi kuwa imekamilisha usajili wa kiungo Nemanja Matic kutoka Chelsea.
Matic Mwenye miaka 28 amesaini mkataba wa miaka mitatu kwa ada ya uhamisho wa £40 milioni.
Raia huyo wa Serbia amekuwa mchezaji wa tatu kusaliwa na Manchester United baada ya ule wa Victor Lindelof kutoka Benifica na Romelu Lukaku Everton.

Comments
Post a Comment