DONE DEALS: Usajili barani Ulaya.


Aliyekuwa mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata amejiunga rasmi na Chelsea baada ya kusaini mkataba wa miaka 5 na timu hiyo.

Morata mwenye miaka 24 amesaini dili hilo kwa ada ya uhamisho wa pauni 70 milioni.

Kwa upande mwingine Liverpool imekamilisha usajili wa aliyekuwa mlinzi wa kushoto wa Hully City Andy Robertson ambaye amejiunga na vijogoo hao wa Anfield kwa dau la pauni 10 milioni.

                           Andy Robertson

Comments