Aliyekuwa nahodha wa Chelsea John Terry amejiunga na Aston Villa kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Kocha wa Villa Steve Bruce amevutiwa na nyota huyo wa England ambaye ana imani ataiongoza timu kurejea ligi kuu.
John atavuta mkwanja wenye thamani ya
Pauni 4 milioni endapo ataingoza vema timu hiyo ambayo ina matumaini ya kurejea ligi kuu chini ya Steve Bruce.

Comments
Post a Comment