Kado arejea tena Mtibwa Sugar. Posted by eskaone blog on July 21, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Timu ya Mtibwa Sugar imethibitisha kumrejesha kipa wao wa zamani Shabani Kado ambaye amesaini miaka 2. Kado ametokea Mwadui FC na kujiunga na wakata miwa ili kuziba pengo lililoachwa wazi na Said Nduda ambaye amesajiliwa na Simba hivi karibuni. Comments
Comments
Post a Comment