Aliyekuwa kiungo wa Yanga Deus Kaseke amejiunga na Singida Utd kwa mkataba wa miaka miwili.
Kiungo huyo ameshindwa kuendelea na Yanga baada ya baada ya kushindwana kimaslahi.
Tayari Kaseke ametua jijini Mwanza kuungana na wenzake kikosini ambao wapo kwenye mazoezi ya kujiandaa na ligi kuu.
Kaseke ameungana na Ally Mustapha Barthez ambaye alisaini Singida United siku mbili zilizopita.

Comments
Post a Comment