Klabu ya Yanga imemsajili golikipa Youthe Rostand ambaye amezipa pengo la Deogratius Munish ambaye ameondoka kwenye timu hiyo.
Raia huyo wa Cameroon amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Yanga ambayo imetwaa ubingwa wa VPL kwa mara ya tatu mfululizo.
Golikipa huyo atakutana na upinzani wa kuwania namba dhidi ya kipa aliyeibuka sasa Ben Kakolanya ambaye ambaye ameongeza shaka kwa golikipa Mustafa Barthez.

Comments
Post a Comment