KUMEKUCHA: Alves aifungia bao PSG


Beki mpya wa timu ya PSG Dani Alves ameanza vizuri kwa waajili wake wapya baada ya kuifungia timu hiyo jana dhidi ya Monaco.

Hiyo ilikuwa mechi ya kwanza ya ushindani kwa Dani Alves kwa mara ndani ya Uzi  wa PSG akiitumikia timu hiyo katika mchezo wa ngao ya hisani.

Alves mwenye miaka 34 aliifungia PSG bao la kusawazisha katika dakika ya 51 na bao la ushindi liliwekwa nyavuni na kiungo Rabiot.

Comments