'Nataka kusajili zaidi' Mourinho.


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa bado anaendelea na usajili ili kuimarisha kikosi cha timu hiyo.

Mourinho alikataa kuzungumzia usajili wa Nemanja Matic na badale alisisitiza kuwa bado kuna wachezaji nyota watasajiliwa Man Utd.

Mbali na usajili wa Lindelof na Lukaku pia kocha huyo amejipanga kuwasajili Eric Dier wa Tottenham pamoja na Ivan Perisic kutoka Intermilan

Comments