Lacazatte ametua Arsenal.


Mshambuliaji tishio wa Ufaransa Alexandre Lacazatte anatarajiwa kutangazwa rasmi katika timu ya Arsenal atakaposaini dili la miaka 5.

Lacazatte atasaini miaka 5 ndani ya timu hiyo kwa dau la pauni 44 milioni baada ya zoezi la vipimo.

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 26 aliifungia Lyon mabao 37 katika mechi 45 ambazo ameichezea timu hiyo msimu uliopita.

Comments