Aliyekuwa mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku amesaini mkataba wa miaka 5 kuitumikia Manchester United.
Lukaku amesaini dili hilo kwa ada ya uhamisho ambayo inaweza kufikia kiasi cha pauni 90 milioni.
Mshambuliaji huyo amepishana na Wayne Rooney ambaye ametua ametua Everton aliyotoka Lukaku.
Comments
Post a Comment