Kiungo wa Manchester United Paul Pogba amepost ujumbe wa kumkaribisha na kumpa hongera mshambuliaji Romelu
Lukaku ambaye anatajiunga na timu hiyo.
Pogba yuko jijini Los Angels pamoja na mshambuliaji huyo wa Everton ambaye jana walionekana wakifanya pamoja.
"See you in training tomorrow" ameandika Pogba kupitia akaunti yake ya Instagram ikiwa ni ishara ya kumpongeza nyota ambaye atafanyiwa vipimo na timu hiyo.


Comments
Post a Comment