Maguli aipeleka stars nusu fainali, COSAFA. Posted by eskaone blog on July 02, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Bao pekee la mshambuliaji wa Taifa Stars Elias Maguli limeivusha Tanzania katika hatua ya nusu fainali ya michuano COSAFA. Maguli alifunga bao hilo katika dakika ya 17 na kuiwezesha Tanzania kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya South Africa. Comments
Comments
Post a Comment