Klabu ya Manchester United inatarajiwa kutua katika jiji la Los Angels Marekani siku ya kesho jumapili kwa ajili ya maandalizi ya timu hiyo msimu ujao.
Tayari Pogba na swahiba wake Lukaku ambaye anatarajiwa kukamilisha zoezi la vipimo wikiendi hii wapo wapo katika jiji hilo la Los Angels.
Man Utd imehusisha kikosi chenye jumla ya wachezaji 27 bila Wayne Rooney ambaye amekamilisha usajili wake Everton baada ya kudumu Old Trafford kwa miaka 13.


Comments
Post a Comment