Mghana wa Mbao atua Lipuli ya Iringa Posted by eskaone blog on July 30, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mbao FC imempoteza kiungo wao kiraka Asante Kwasi ambaye amejiunga na Lipuli FC ya mkoani Iringa. Kwasi ambaye ni raia wa Ghana amesaini mkataba wa miaka miwili na ataiwakilisha Lipuli FC kwenye ligi ya England msimu ujao. Comments
Comments
Post a Comment