Mrithi wa Diego Costa anatua Chelsea.


Staa wa Borrusia Dortmund Emerick-Pierre Aubameyang huenda akarithi kiti cha Diego Costa Chelsea.

Dili la Chelsea linaonekana kwenda vizuri baada ya kuweka mezani dau la pauni Milioni 65 kwa ajili ya Mshambuliaji huyo.

Chelsea imevamia kambi ya Dortmund baada ya kushindwa kumsajili Romelu Lukaku ambaye amejiunga na Manchester  United.

Comments