Msuva alivyotambulishwa Al Jadida.


Winga mwenye kasi Tanzania Simon Msuva jana alitambulishwa rasmi kwenye klabu yake mpya ya Difaa Al Jadida.



Msuva amemaliza siku nne tangu alipoondoka nchini kumalizana na timu hiyo ya Morocco.


Comments