Katibu mkuu wa Yanga Bonifasi mkwasa jana amemtambulisha Dismas Ten kuwa ndiye afisa habari wa klabu hiyo kwa sasa.
Yanga imeachana na Jerry Muro ambaye alikuwa kifungoni kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kufungiwa na kamati ya nidhamu ya TFF.
Hapo awali Dismas Ten alikuwa afisa habari wa klabu ya Mbeya City ambayo nayo inashiriki ligi kuu ya Vodacom.

Comments
Post a Comment