Mwanjale achukua nafasi ya Mkude.


Klabu ya Simba imefanya mabadiliko kidogo baada ya kutamngaza Method Mwanjale kuwa nahodha mpya.

Awali kiungo Jonas Mkude ndiye aliyekuwa amebeba dhamana hiyo kabla ya mabadiliko hayo.

Kwa upande mwingine aliyekuwa mchezaji bora wa ligi kuu msimu uliopita Mohamed Zimbwe (Tshabalala) na John Bocco wameteuliwa kuwa manahodha waandamizi wa wekundu hao.

Comments