Niyonzima ni mali ya Simba 100%.


Kiungo Haruna Niyonzima amethibitika kuwa ni kuwa ni mali ya Simba baada ya wekundu hao kujumuisha jina lake kwenye orodha ya wachezaji iliyotumwa TFF.

Pia zipo taarifa kuwa mchezaji huyo amesafiri kwenda Sauz Afrika kuungana kikosi cha Simba ambacho kimeweka kambi yake nchini humo.

Simba inajigamba kumtambulisha Rasmi mchezaji siku ya maalum ya kuzaliwa kwa klabu hiyo maarufu kama Simba day.

Mchezaji huyo amewahi kuitumikia Yanga kwa misimu 6 kabla ya kuhusishwa na mpango wa kujiunga na Simba SC.

Comments