Aliyekuwa winga wa klabu ya Simba SC Pastory Atanas ametua Singida United baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili ndani ya timu hiyo.
Pastory alionekana akitambulishwa na jezi ya Singida United ambayo imeandikwa jina la kampuni inayodhamini timu hiyo Sportpesa.
Winga huyo amedumu Simba kwa msimu mmoja pekee akitokea Stand United ya mkoani Shinyanga.


Comments
Post a Comment