Beki wa Ureno Kipre Lima Pepe ametua Besiktas ya Uturuki kwa uhamisho huru baada ya kusaini mkataba wa miaka 3.
Pepe mwenye miaka 34 amewahi alikuwa akihusihwa kujiunga na PSG ya Ufaransa lakini amechagua kutua kwa waturuki hao.
Beki huyo mtukutu amedumu Real Madrid kwa miaka 10 na kufanikiwa kunyakuwa mataji ya klabu bingwa barani Ulaya, ligi kuu na Kombe la mfalme.

Comments
Post a Comment