Pogba, Lukaku wafanya mazezi pamoja.


Mshambuliaji wa Everton Romeu Lukaku ameonekana pamoja na Kiungo wa Manchester United Paul Pogba wakifanya mazoezi pamoja jiji Los Angeles Marekani.

Tayari zipo taarifa kuwa Lukaku atafanyiwa vipimo nchini humo ili kujiunga na Manchester United kwa dau la pauni 75 milioni.

Comments