Kiungo mpya aliyesaini Yanga Raphael Daudi leo ameungana na kikosi cha timu hiyo kwenye mazoezi ya pamoja mkoani Morogoro.
Raphael Daudi alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo hapo jana.
Pia mshambuliaji wa Zambabwe Donald Ngoma naye amegana na wenzie kwenye mazoezi ya pamoja.
Comments
Post a Comment